1.Fungua www.prasdel.co.tz
2.Bonyeza “Register NOW” na changua Register as Graduate/Student ili kujisajili
3.Ingiza Taarifa zako, kisha REGISTER.
4.Fungua boksi ya Barua pepe yako.
5.Tafuta Barua pepe uliyopokea kutoka PRASDEL (ukiikosa kwenye inbox, tafuta kwenye SPAM/JUNK).
6.Bonyeza “Verify” ili kuhakiki umiliki wa Akaunti.
7.Ingia kwenye mfumo.
8.Tengeneza CV yako kupitia mfumo.
9.Tafuta nafasi kwenye “Vacancies”.
10.Tuma maombi, kisha subiria majibu ambayo utatumiwa kwa njia ya Barua Pepe(email).