Volunteer ni nani na ana faida gani kwenye jamii? Je, anapata faida gani? Katika Podcast hii tunazungumzia sifa za Mfanyakazi wa Kujitolea yaani "Volunteer....
listen nowJe, kuna faida gani ya kujiunga na Taasisi kwa ajili ya Mafunzo Kazini? Katika Podcast hii tunazungumzia umuhimu wa Mhitimu wa Chuo kuhudhuria....
listen nowJe, unadhani vyuo vilikosea kuweka muda wa mwanafunzi kufanya mafunzo ya vitendo? Katika Podcast hii tunazungumzia umuhimu wa mwanafunzi wa chuo kuhudhuria mafunzo....
listen nowEpisode hii ni kwa ajili ya kukupa mwangaza ni vitu gani unapaswa kuwa unapost na kufuatilia kwenye mitandao....
listen nowKwenye Podcast hii tutajifunza tofauti kati ya Mafunzo kwa Vitendo kwa Mwanafunzi ambaye bado anasoma chuo (Field Placement), Mafunzo Kazini (Internship), na Kazi ya Kujitolea....
listen nowNia kubwa ya Podcast ni kuzungumzia juu ya mambo mbalimbali ambayo Mwanafunzi/Mhitimu anapaswa kuyafahamu ili kumrahisishia katika soko la ajira au hata kujiajiri pia. Humu....
listen now