PRASDEL | AFISA MASOKO at Gpoint Development Consultancy

Vacancy Details

Title: AFISA MASOKO

Category: Internship

Education Level: Any level

Application Deadline: Oct 1, 2020

Location: Dar es Salaam

Start Date: Oct 5, 2020

End Date: Dec 31, 2020

Duration: 12 Weeks

Allowance: Confidential

Description

Majukumu:

  • Kupanga na kutafuta masoko ya bidhaa
  • Kuuza bidhaa
  • Kufanya shughuli nyingine yoyote atakayopangiwa
Requirements

Sifa:

  • Awe Mtanzania
  • Awe amesomea na kuhitimu chuo mwaka 2018 na kuendelea masomo ya masuala ya masoko, biashara au mauzo kwa ngazi ya astashahada, stashahada au shahada ya kwanza.
  • Awe teyari kujifunza,kudili na vijana na wanawake, taasisi na vikundi
  • Awe na ujuzi wa kutumia kompyuta na simu janja
  • Awe na uwezo wa kufikia malengo atakayopangiwa
  • Awe mjasiriamali au mwenyekupenda kuwa mjasiriamali