PRASDEL | Podcasts | Tofauti kati ya Field | Internship | Volunteer
Tofauti kati ya Field | Internship | Volunteer free episode

Author: Geofrey Chami , posted on Jul 29, 2020

Kwenye Podcast hii tutajifunza tofauti kati ya Mafunzo kwa Vitendo kwa Mwanafunzi ambaye bado anasoma chuo (Field Placement), Mafunzo Kazini (Internship), na Kazi ya Kujitolea (Volunteer Work).