PRASDEL | Podcasts | Je, ni kwanini mwanafunzi anapaswa kwenda "Field"?
Je, ni kwanini mwanafunzi anapaswa kwenda "Field"? free episode

Author: Geofrey Chami , posted on Sep 1, 2020

Je, unadhani vyuo vilikosea kuweka muda wa mwanafunzi kufanya mafunzo ya vitendo? Katika Podcast hii tunazungumzia umuhimu wa mwanafunzi wa chuo kuhudhuria mafunzo ya vitendo wakati bado anasoma chuo, yaani "Field Practical."