PRASDEL | Podcasts | Ni nini faida za kufanya kazi ya kujitolea?
Ni nini faida za kufanya kazi ya kujitolea? free episode

Author: Geofrey Chami , posted on Sep 1, 2020

Volunteer ni nani na ana faida gani kwenye jamii? Je, anapata faida gani? Katika Podcast hii tunazungumzia sifa za Mfanyakazi wa Kujitolea yaani "Volunteer Worker" anawajibikaje na faida yake kwenye jamii.