PRASDEL | Podcasts | Je, unadhani kufanya "Internship" ni kupoteza muda?
Je, unadhani kufanya "Internship" ni kupoteza muda? free episode

Author: Geofrey Chami , posted on Sep 1, 2020

Je, kuna faida gani ya kujiunga na Taasisi kwa ajili ya Mafunzo Kazini? Katika Podcast hii tunazungumzia umuhimu wa Mhitimu wa Chuo kuhudhuria Mafunzo Kazini, yaani "Internship."