PRASDEL | Podcasts | Utambulisho wa uwanja wetu mpya wa "Podcast"
Utambulisho wa uwanja wetu mpya wa "Podcast" free episode

Author: Geofrey Chami , posted on Jun 24, 2020

Nia kubwa ya Podcast ni kuzungumzia juu ya mambo mbalimbali ambayo Mwanafunzi/Mhitimu anapaswa kuyafahamu ili kumrahisishia katika soko la ajira au hata kujiajiri pia. Humu tutafundishana kitu kinachoitwa "Soft Skills".